Diamond Platnumz aungana na timu yake ya WCB kutoa wimbo wa pamoja ‘Quarantine’ – Video

Lebo ya muziki wa Bongo Fleva WCB Wasafi imeungana na kutoa wimbo mmoja wa  ‘Quarantine’ ambapo wamo Diamond Platnumz, Rayvanny, Mbosso, Lavalava, Zuchu na Queendarlin.

Video hiyo ikiwa imefanywa ba Director Keny huku audio ikifanywa na S2kizyy.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW