Diamond Platnumz

Diamond Platnumz kufanya show mbili kwa mpigo usiku wa leo – Geita na Mwanza

Hii ni sababu nyingine kubwa ya kuamini maneno yetu kwenye orodha ya wasanii wa Bongo Flava walioingiza fedha nyingi zaidi mwaka huu kuwa kila wiki Diamond Platnumz ambaye amekamata nafasi ya kwanza huingiza shilingi milioni 40.

c0dfa63a281211e3bbd422000a1f9ab2_7

Usiku wa kuamkia leo alikuwa na show iliyofunga visiwani Zanzibar na leo usiku atakuwa na show mbili. Ataanza Geita na baadaye kwenda Rock City kwenye Serengeti Fiesta.

“GEITA..!!!!!! On Ma Way… tukutane wote Desire Park! Usiku wa Leo, kabla sijenda kuvunja Jukwaa la Fiesta usiku huu huu wa leo kwenye viwanja vya CCM Kirumba Mwanza….! #OneNight #TwoShows #UsiulizeNafikajeWeNiachieMimi,” ameandika Staa huyo wa Number 1 kupitia Instagram.

Talking good money!!

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents