Tupo Nawe

Diamond Platnumz, Rayvanny na Alikiba wapigiwa upatu Bungeni watangaze utalii (+video)

Mbunge wa Jimbo la Sengerema, Mhe. Wiliam Ngeleja amewapigia upatu wasanii wa Bongo Fleva, Alikiba, Diamond Platnumz na Rayvanny kwa kuiomba serikali iwatumie katika kutangaza utalii kwa manufaa ya taifa.

Mhe. Ngeleja ametoa hoja hiyo leo Aprili 18, 2019 wakati akichangia hoja katika hotuba ya Waziri wa Habari, Mhe. Harrison Mwakyembe .

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW