Burudani ya Michezo Live

Diamond Platnumz weka tu weke baada ya baba lao kufanya vizuri, aachia wimbo mpya ‘Sound’ aliyomshirikisha msanii huyu wa Nigeria – Video

Diamond Platnumz weka tu weke baada ya baba lao kufanya vizuri, aachia wimbo mpya 'Sound' aliyomshirikisha msanii huyu wa Nigeria - Video

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na C.E.O wa WCB Diamond Platnumz ameachia video ya wimbo mpya SOUND aliomshirikisha msanii Teni kutoka Nigeria.

Diamond anaachi ngoma hii baada ya wimbo wake wa Baba lao aliouachia wiki mbili zilizopita kufanya vizuri, audio ya wimbo huu imefanywa na Lizer kutoka Wasafi huku video yake ikifanywa na Madirector wawili mmoja kutoka Tanzania Director Kenny na Moe mussa kutoka Nigeria.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW