Diamond Platnumz
Diamond shares a very weird advice about love
So do you think Diamond can be your love Doctor? Mtu ambaye anaweza kukupa ushauri wa kimapenzi? Soma haya;
“Ogopa sana Mpenzi wako akikwambia fulani hampendi!… jua ni uongo anampenda na kumtamani.. na any time utaskia wamekazana,” he tweeted.
Do you believe this? Tusikie akinadada wanasemaje hapa sababu zipo sana hizo.