Burudani

Diddy achangia milioni 224 Uganda

Kutoa ni moyo na wala sio utajiri. Rapper Sean John Combs maarufu kama P Diddy amechangia kiasi cha dola 100, 000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 224 za kitanzania.

Msanii huyo ametoa fedha hizo kwenye kampeni ya kusaidia huduma za afya za uzazi nchini Uganda.

Kampeni hiyoambayo inafahamika kama Mama Hope ilianzishwa mwaka 2016 na rapper French Montana.

https://youtu.be/AG2f63FcUCA

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents