DStv Inogilee!

Diddy na Cassie waweka hadharani uhusiano wao

Hatimaye Diddy na Cassie wameweka hadharani uhusiano wao kwa kuonesha jinsi wanavyopendana kupitia akaunti zao za Twitter na Instagram.

Cassie ameweka picha ya bwana yake akiwa kwenye boti iendayo kwa kasi na kwenye instagram na kuandika ‘Love him’.

Baadaye kidogo Diddy naye aliweka picha ya Cassie na kuandika ‘I am very lucky man’

Kuna wale wanaosema kuwa wawili hao tayari wameshachumbiana.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW