BurudaniUncategorized

Director Ivan adai kufanya muziki hakuta haribu kazi zake (+Video)

Muongozaji wa video Bongo, Director Ivan amebainisha kuwa kuingia rasmi katika muziki i hakutaathiri kazi zake ya kutengeneza video.

Akiongea na Bongo5, Ivan anaye-hit na ‘Butterfly’ amesema kuingia katika  uimbaji  wa RnB hakuta punguza uwezo wake wa kufanya kazi ya kuotengeneza video bali utamuongezea challenge katika kazi hiyo.

“Hakuta punguza uwezo wangu ila ni utaniongezea challenge kwa kuongeza kufanya kazi vizuri zaidi, kwa sababu nahitaji niwa-prove watu naweza nikafanya video na vile vile ninaweza nikaimba,” amesema Ivan.

Pia akaongeza “Kila kitu kwa sasa nafanya kwa mipango hivyo hakuna kitu kitakachofanya sehemu moja ku-loose na sehemu nyingene nafanya vizuri.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents