Burudani

Diva atangaza kuacha kazi rasmi Clouds media, Nimeamua kwa akili zangu mwenyewe (+Audio)

Mtangazaji wa kituo cha Clouds media Diva the Boss lady ametangaza kuacha kazi katika kituo hicho.kupitia ukurasa wake wa Instagram Diva amepost hiki.

“Mashabiki wangu wa #alazaroho Mambo vipi?! mimi mwenyewe kwa akili zangu binafsi Maamuzi Yangu Binafsi nachukua nafasi Hii kuwaaga … ntawamiss sana tumekuwa wote kwa Miaka 11 .. worth it , Natoa Shukran zangu kwa Uongozi wa @cloudsfmtz kwa kunilea Im forever thankful, shukran kwa @josephkusaga na Familia Yake for making My Journey, Ntakushukuruni sana. Positively nimeamua Mwenyewe Kuacha Kazi @cloudsfmtz leo mchana huu kwa mdomo wangu mbele ya HR na shahidi wake nilipotamka maneno hayo ya Maamuzi ambayo toka natoka nyumbani nilisema ntafanya sababu ya vitu vingi tu ambavyo sitasema … Nashukuru sana sana sana … Iv been raised to be honest and speak up no matter what, sababu ya Kusimamia Ukweli wangu nimeamua fanya Maamuzi ambayo nahisi ni sahihi kwangu … By saying That Life has a lot to offer Mungu Yu Mwema … tutajuzana Zaidi my next destination, love You all 💕”

https://www.instagram.com/p/CFPLxQynbMu/

https://www.youtube.com/watch?v=roYhrOInax8

https://www.youtube.com/watch?v=Abp3QeWW_vI

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents