Soka saa 24!

Diva aziamkia video za wasanii wa Bongo, ‘nyingi zinatia huzuni’

Mtangazaji wa Clouds FM, Loveness Diva ameziamkia video za muziki za Tanzania na kudai kuwa nyingi zina ubora duni unaotia huzuni.

Diva one

Akizungumzia baadhi ya video zilizotoka hivi karibuni, mtangazaji huyo ambaye pia ni mwimbaji, amesema video hizo zina rangi nyingi na hivyo huumiza macho.

“Maybe coz I see better videos or I’m always on DSTV … Bongo Videos not marketable kabisa. Most of them zinatia huzuni, ametweet Diva.

Akizichambua baadhi ya video alizoziona Diva ametweet:

Nash Designer my dear, same eish in every video smh, in no time i’ll be back Upstairs to watch DSTV kwakweli… NoOffense.

Video ya Recho huyu dada khaa. Nightdress na sidiria vyote kavaa usiku uko na mumeo tu. vyote hivyo vya nini? doe #Howsad.

Uswazi Take Away Chege… such a beautiful video. Ndio naona leo video za Kitanzania. am so yesterday kwakweli.
Queen Darlin video Kokoro eish … why on earth orange blush all over the face? So sad.

Unakubaliana na Diva?

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW