Burudani ya Michezo Live

Diva kuhusu Prezzo: It was love at first sight….

So kumbe haikumtokea Prezzo tu, ni hata kwa Diva pia, ‘love at first sight’. Juzi tuliandika habari kuhusu Prezzo kukiri kuchanganywa na penzi la Diva ambapo alisema (kwa utani) kuwa anajiandaa kupeleka mahari.. Diva alikanusha kwa kusema kuwa they are just good friends. But now it seems like the Rapcellency has caught Diva’s heart, she is in love and ofcourse…… Yeah, she misses him.

PREZZ

“I so miss @AMB_Prezzo, it was love at first sight,” ametweet.

“He is such a Darling. Such a sweetheart makes me smile always.

Cha kuvutia zaidi ni kwamba Diva yuko tayari kumwacha mpenzi wake sasa na kwenda kuvinjari na mfalme wa bling bling Afrika Mashariki.

“YES.. am gonna leave him over PREZZO. Lol,” ametweet kujibu swali la mtangazaji wa Clouds TV, Lady Haha.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW