Burudani

Video: Dj D-Ommy akiongelea show ya Bahrain na Afrika Kusini

DJ D-Ommy wa Clouds FM alikuwa Dj mwalikwa kwenye tamasha kubwa la nchini Bahrain linalofanyika kila mwaka la Afro Caribbean Beach Party hivi karibuni.

Kabla ya hapo alialikwa pia kutumbuiza kwenye pre-party ya NBA Allstars Game jijini Johannesburg, Afrika Kusini. Amepita kwenye studio zetu kutuambia alichikifanya.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents