Burudani

DJ D-Ommy wa Times FM ahamia Clouds FM

Aliyekuwa DJ wa vipindi vya Times FM kama vile ‘The Jump Off’ na ‘The Switch’, D-Ommy, amejiunga na Clouds FM.

11428806_1603765579899117_1727950559_n

D-Ommy amesikika kwa mara ya kwanza Alhamis hii baada ya kutambulishwa kwa surprise kwenye kipindi cha XXL.

11271144_683991461728757_1256593608_n

Pamoja na kuwa DJ wa redioni, D-Ommy anafahamika kwa kujituma na kujitangaza katika kazi hiyo ikiwa ni pamoja na kutengeneza mixx tape za mbalimbali na kusafiri katika nchi za jirani kwenda kujitangaza.

11377489_500920893390549_1946845443_n
D-Ommy akiwa na wafanyakazi wa Clouds Media, Adam Mchomvu, Nickson George na Kamara

D-Ommy amejichukulia pia umaarufu kwenye show za Instagram Party.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents