BurudaniUncategorized

Dj Khaled alamba dume

Akiwa anatarajia kutoa albamu yake mpya ifikapo June 23 mwaka huu, msanii huyo aliyechini ya label ya Epic, Dj Khaled anazidi kulamba dume.

Dj Khaled aliyepata shavu la kufanya tangazo la kwa ajili ya finali za mchezo wa kikapu uliofanyika juzi June 7, pia anatarajiwa kuonekana kwenye cover ya magazine ya Billboard Bill linalotoka June 17 mwaka huu.

Huwenda mafanikio yanamfuata mwenye mafanikio kwani hata mwanaye, Asahd Khaled, anazidi kukiki kwa kuonekana kwenye cover ya albamu ya 10 ya baba yake iitwayo’ Grateful’

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents