Burudani

DJ khaled amnasa Rihanna

Mtayarishaji wa muziki na rapa kutokea nchini Marekani, DJ Khaled anaewinda nafasi ya uwenyekiti katika lebo ya Epic Record, nafasi ambayo imeachwa na Antonio Marquisa amedata kwa mrembo Rihanna kwa kumposti picha mfululizo kupitia ukurasa wake wa Instagram.

DJ Khaled ametumia ukurasa wake wa Instagrama tangu jana kupost picha mbalimbali za mwanadada Rihanna na kuonekana kuwa na shauku ya sauti ya mrembo huyo, Kwani ameonekana akiandika maandishi yanayofanana kuashiria kuwa kuna ujio wa kolabo kati ya wawili hao.

“THEY? SAID KHALED CANT GET @badgalriri Vocals !Tell THEY? I SAID HI ? !!!!! @badgalriri VOCALS IS IN !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!l GOD IS THE GREATEST !!!!!!!!!!!!!!!! #FANLUV!!! Release date for #GRATEFUL SOON COME !! Real soon!!! @wethebestmusic @rocnation @epicrecords !!!!!!! ??????? #BEREADY!!.”,ameandika DJ Khaled.

Kufuatia post hizo kunaashiria kuwa huwenda kuna kolabo mpya inakuja kati yao ama tutegemee kusikia sauti ya mwanadada huyo kwenye album ya “Grateful”.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents