Burudani

Dj Khaled amuongeza Drake kwenye album ijayo, Grateful

Dj Khaled bado anaendelea kuandaa album yake mpya, Grateful ambapo sasa tutegemee pia collabo kali kati yake na Drake.

Kupitia ukurasa wake wa instagram, DJ Khaled ameweka wazi kuwa sauti za Drake zimeshafika studio na muda wowote wanaikamilisha na itasikika album hiyo.

PART 1 ! Did the @champagnepapi vocals come in yet !! EveryTING TOP SECRET T!! Part 1 .. part 2 up next … fan luv I got us !!!!!!!! #GRATEFUL ALBUM ITS COMING!!!!!!!!!! ????????????????????????????

Mtayarishaji mkuu wa album ya Grateful ni mtoto wa Dj Khaled, mwenye miezi mitano, Asahd Tuck Khaled.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents