Burudani

Dj Khaled atangaza ujio wa albamu yake ya 11 ‘Father of Asahd’

Dj Khaled anampango wa kuachia albamu yake mpya hivi karibuni.

Rapper huyo amethibitisha hilo kupitia mitandao yake ya kijamii wakati akitambulisha kuachia ngoma yake mpya Ijumaa hii ya March 2.

Albamu hiyo itakuwa ya 11 kwa Khaled na tayari ameipa jina la ‘Father of Asahd’ ambalo linatokana na mwanae mwenye mwaka 1 na miezi minne.

Wimbo ambao Dj Khaled anatarajiwa kuuachia Ijumaa hii unaitwa ‘Top Off’ ambao amemshirikisha Jay Z, Beyonce na rapper Future.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents