Burudani

Dj Khaled na mwanae Asahd wakava jarida la XXL la mwezi April

Dj Khaled na mwanae Asahd wamefanikiwa kukava jarida la XXL kwa mara ya kwanza wakiwa pamoja.

Ndani ya jarida hilo linalotarajiwa kutoka April 24 ya mwaka huu Khaled amezungumzia maisha yake kama baba kwa sasa na mengine.

Asahd ni miongoni mwa watoto wa mastaa wanaotarajiwa kuja kuwa maarufu zaidi duniani. Akiwa na takribani miezi sita tangu alipozaliwa mwezi Octoba mwaka jana, mtoto huyo tayari ameshapata followers 473k kwenye mtandao wa Instagram.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents