Burudani
DJ maarufu wa Kenya, apata mchongo wa kituo cha radio Bongo
DJ Namosky wa Kenya, aliyekuwa amepata mchongo wa kupiga muziki kwenye club ya Escape 1, amepata deal jingine la kuwa na show yake kwenye kituo cha redio cha Club Sibuka FM.
Namosky atakuwa na kipindi kwenye kituo hicho kila Ijumaa na Jumamosi pamoja na matamasha ya kituo hicho kila mwezi.
“Yeah got a deal with Sibuka FM in Dar. Catch me every friday from 7-10pm, Sat from 8-11am and on Sibuka TV every Saturday from 12-2pm,” alisema DJ huyo.
Chanzo: Ghafla Kenya.