Burudani

Dj Pierra Makena akaribia kuitwa mama

Dj namba moja wa kike nchini Kenya, Pierra Makena hatimaye anakaribia kuitwa mama.

djpierra

Makena ambaye anashika namba moja kwa dj’s wa kike mwenye mvuto nchini humo, amezidi kuwa maarufu Kenya na nje kwa kazi yake hiyo.

pierra

Hivi karibuni imegundulika kuwa Makena ni mjamzito na mimba yake ina miezi mitano mpaka sasa japo kuwa mwazo hakutaka kuweka wazi hilo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents