Burudani
DJ wa Harmonize afunguka mahusiano yake na Linah (+Video)
DJ wa Harmonize maarufu kama DJSEVE @djsevenworldwide amefunguka mahusiano yake na Msanii wa Bongo Fleva, mwanadada Linah Sanga baada ya kuhusishwa wawili hao kuwahi kuwa na mahusiano.