Burudani

DJ wa kike na mtoto wa bilionea wa Nigeria, DJ Cuppy kutua Dar wiki hii

DJ wa kike wa Nigeria na mtoto wa bilionea wa nchini humo, Femi Otedola, aitwaye DJ Cuppy anatua Dar es Salaam wiki hii. Mrembo huyo ambaye anakuja Dar akitokea Nairobi, Kenya yupo kwenye ziara ya kuzunguka nchi takriban nane za Afrika.

1389916_400581543467939_1645294340_n

Cuppy atatumbuiza Dar, Jumamosi hii.

Mfahamu zaidi Cuppy na baba yake bilionea, Otedola.

dj-cuppy-vandrusville-resident-dj-2014-mtv-africa-music-awards-mama

Femi Otedola ni CEO wa kampuni ya mafuta ya Forte Oil Plc mwenye utajiri wa dola bilioni 1.2. Otedola ana watoto watatu wa kike akiwemo Florence Otedola maarufu kama DJ Cuppy ambaye hufanya kazi ya UDJ jijini London Uingereza.

cupp2
DJ Cuppy akiwa kazini

Mwaka huu, DJ Cuppy ndiye aliyekuwa DJ rasmi kwenye tuzo za MTV MAMA jijini Durban, Afrika Kusini. Yaani yeye ndiye alikuwa akipiga muziki wakati wa tuzo hizo.

dj-cuppy-vandrusville-ours-magazine-stereotype-music-industry

Chini ni baadhi ya picha za DJ Cuppy akiwa na baba yake.

DJ-Cuppys-Graduation-House-of-Cuppy-Launch-August-2014-BellaNaija.com-01004-400x600

DJ-Cuppy-Femi-Otedola-June-2014-BellaNaija.com-05-600x452

DJ-Cuppy-Femi-Otedola-June-2014-BellaNaija.com-06-600x399

DJ-Cuppy-Femi-Otedola-June-2014-BellaNaija.com-07-600x417

DJ-Cuppy-Femi-Otedola-June-2014-BellaNaija.com-08-431x600

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents