Habari

Dk. Shein ashinda Urais Zenji

Mgombea wa CCM katika kugombea urais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein ameshinda kwa mujibu wa matokeo ya tume ya uchaguzi sasa hivi kwa asilimia 51.1%

Maalim Seif Shariff Hamad amekubali matokeo na kuipongeza CCM na mgombea wake, hata hivyo Maalim Seif amesema kuna dosari zinazotokana na badhi ya maofisa na kumuomba rais mteule kuwa mwangalifu na hilo ili nchi isifike pabaya.

Amesema katika uchaguzi huu hakuna mshindi ama mshindwa. Mshindi ni mzanzibari, na kamuomba rais mteule ahakikishe hilo ili hali ya hewa isije kuchafuka.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents