Habari
Dk. Wilbrod Slaa ateuliwa na Rais Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua aliyewahi kuwa Katibu mkuu wa Chama cha Chadema Dr. Wilborad Slaa kuwa balozi.
Hii ni taarifa kutoka Ikulu..