Siasa

Dkt Mashinji atambulishwa rasmi CCM Asema “Chama pekee ambacho kipo tayari kuiongoza Tanzania ni CCM sina shaka na hilo” – Video

Dkt Mashinji atambulishwa rasmi CCM Asema "Chama pekee ambacho kipo tayari kuiongoza Tanzania ni CCM sina shaka na hilo" - Video

Maneno ya aliyekuwa katibu mkuu wa CHADEMA Dkt. Vicent Mashinji wakati akitambulishwa rasmi kuwa mwanachama halisi wa Chama cha Mapinduzi CCM mbele ya mwenyekiti wa CCM taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pambe Magufuli.  “Chama pekee ambacho kipo tayari kuiongoza Tanzania ni CCM sina shaka na hilo”

By ALLY JUMA.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents