Habari

Dkt Mwakyembe aunda kamati kufuatilia utekelezaji mkataba wa TBC na Star Times

By  | 

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe ameunda Kamati ya kuchunguza ubia wa Kampuni ya StarTimes na Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) kufuatia hoja mbalimbali zilizojitokeza.

Soma taarifa kamili:

Na Emmy Mwaipopo

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments