Burudani

DMX aikosa Dar, Fabolous atibua

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani John David Jackson almaarufu kama Fabolous, jana alifanya Show ya kuwaweka midomo wazi Watanzania kwa kile ambacho kilitokea jana kwa kutoamini ni yule yule mwenye mapozi ya kukimbiza. Hata hivyo msanii mwingine aliyetegemewa kufika siku hiyo ni  DMX ambaye inasemekana hakufanikiwa kuingia kwenye viwanja  vya Leaders Club  vya jijini Dar es salaam  kutokana na kuchelewa kupanda  ndege.

Pia wasanii mbalimbali  wa ndani nao walipanda ili kuonyesha uwezo wao katika tamasha hilo lililoandaliwa na Clouds Fm pamoja na Str8 Muzik…

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents