Burudani

DMX aikosa Dar, Fabolous atibua

street_Music_Faborus_face_2_face

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani John David Jackson almaarufu kama Fabolous, jana alifanya Show ya kuwaweka midomo wazi Watanzania kwa kile ambacho kilitokea jana kwa kutoamini ni yule yule mwenye mapozi ya kukimbiza. Hata hivyo msanii mwingine aliyetegemewa kufika siku hiyo ni  DMX ambaye inasemekana hakufanikiwa kuingia kwenye viwanja  vya Leaders Club  vya jijini Dar es salaam  kutokana na kuchelewa kupanda  ndege.



Pia wasanii mbalimbali  wa ndani nao walipanda ili kuonyesha uwezo wao katika tamasha hilo lililoandaliwa na Clouse Fm pamoja na Street Music…

street_music_diamond

Mwanamuziki Diamond, akiwa kwenye pozi wakati akisubiri zamu yake ya kuingia kati kwaajili ya show.

Street_Music_Diamond_jukwaani

Diamond akiwa jukwaani kwaajili ya kufanya show kali zaidi,,, kama kawaida ya mwanamuziki huyu anapomaliza kufanya show yake hujirusha mbele ya mashabiki kwaajili ya kuwalaki, huku akijisahau kama amevaa vitu vya thamani.

street_music_dolo

Mwanamuziki kutoka kwenye kundi la Tmk Wanaume Harisi, Dolo akikamua.

Street_music_b12

Hapa ni mtangazaji wa Clouse Fm aliyevaa shati nyeupe B12, na Nash wa Tht wakiwa kwenye pozi.

street_Music_faborus_pekee

Fbolous akiimba huku nyuma akiwa na shati lenye picha ya fungu la mwaka 2007

Street_music_faborus_wa_pili

Fabolous akiendelea kukandamiza

street_Music_face

Hapa aliamua kutumia alama za Freemason, ambayo wadau ulianza kuifananisha na alama ya nguo yake aliyovaa ya Fuvu.

street_music_g-walawala

G walawala hapa akiingia kuipa support Naco 2 naco

Street_Music_jb

Nature,,,Nature… Juma Nature… akipandisha jukwaani, akiwa na Wachuja nafaka wapya.. akiwa Dolo Jb, Kr Muller kisha akaongezeka Inspector Haroon na Stopper wa AS Town

Street_Music_joe_makini

Joe Makini akitoa radha

street_music_juma_nature

street_music_juma_na_tmk

Street_Music_pina

Karapina akitoa burudani ana Kikosi cha Mizinga

Street_music_watu

Street_muziki_langa

Hapa Langa Kileo wadau

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents