Michezo

Do Or Die: Taifa Stars yapiga zoezi la kufa mtu, ni salamu tosha kwa Harambee Stars ya Kenya hapo kesho (+Video)

Wawakilishi wa Watanzania timu ya Taifa Stars hapo jana usiku walifanya mazoezi kwaajili ya kujiandaa na mchezo wao wa pili wa kundi C dhidi ya majirani zao Kenya katika michuano ya Afcon 2019 yanayoendelea huko nchini Misri. Hii itakuwa mechi ya kufa na kupona kwa Stars ambayo imepoteza mchezo wake wa awali dhidi ya Senegal.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents