BurudaniVideos

Dogo anayetishia kipaji cha Aslay

[youtube]http://www.youtube.com/watch?v=t69xYnd2AAc[/youtube]

Baadaya mwanamuziki Aslay Ismail Dogo Aslay kutikisa katika kundi la Mkubwa na Wanawe linaloongozwa na mkubwa Fella, hivi sasa dogo mpya anaibuka kwa jina la Dogo Mu katika kundi hilo. mwanamuziki huyo ambaye atakuwa mdogo kuliko Aslay na kundi zima la Mkubwa na Wanawe mwenye umri wa miaka kumi na nne, mwenyewe anasema anataka kuja kumfunika kaka yake huyo (Aslay) wa kundi moja, ambapo kwa sasa naye anafanya mazoezi ya ziada ili azibe nafasi yake isije ikarabwa na dogo huyo.


Dogo_Mu_face

dogo_mu_huyo

Dogo_Mu_kapero

Dogo_mu_kwenye_pozi

Hebu kwanza msikilize kwenye moja ya Verse zake, ambazo anakuja nazo kwenye wimbo wake mpya.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents