Bongo Movie

Video ya Dogo Janja alipodondoka jukwaani

dogojanja_madee

Mwanamuziki wa kundi la Tip Top Connectioni, Abdulaaziz Chande maarufu kama Dogo Janja, siku ambayo alianguka jukwaani pale Billicanas na kuumia mguu, wakati akienda kutoa burudani kwa mashabiki wake ambao walikuwa wakimngoja kwa hamu.

Ilikuwa ni siku ya uzinduzi mdogo wa Tamasha la filamu zanzibar Ziff, ambalo lilifanywa pale Billicanas

{hwdvideoshare}id=1534|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents