DStv Inogilee!

Dogo Janja amfuta machozi mama yake mzazi kwa zawadi nono ‘mwaka wa pili baba hayupo, nitakufanya uwe malkia wangu’

Rapa Dogo Janja amemzawadia zawadi ya nyumba mama yake mzazi, ikiwa ni miaka miwili imepita tangu baba yake mzazi afariki dunia.

Dogo Janja amesema zawadi hiyo ya nyumba, ina lengo  la kumfuta machozi mama yake mzazi ambaye aliachwa kwenye upweke.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW