Burudani

Dogo Steven Producer mdogo

dogo_Seven_face
Dogo Steven ndiyo hadi sasa ni produce mdogo kuliko wote na kutengeneza vitu vikali, na vinavyofanya vizuri katika muziki wa Bongo fleva. anaumri wa miaka 16, na ndiye aliyemtengenezea wimbo Dogo Janja na Tunda man, Anajua. pia amegonga kazi


zingine kali kali . Dogo Steven kadri siku zinavyozidi kwenda anasema kuwa anaongezeka umri na uwezo wa kufua biti mpya katika muziki wa Bongofleva.

Dogo_Steven

Anasema zaidi ya kufanya nyimbo hizo pia hivi sasa anakamilisha nyimbo nyingi, ambazo zitakuja kusumbua kwenye muziki huu.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents