Burudani

Dola milioni mbili zamtoka Kanye West kwa ajili ya ulinzi

By  | 

Katika kuhakikisha mtoto ajaye anaishi kwenye usalama zaidi, rapper Kanye West na mkewe Kim Kardashian wanakadiliwa kutumia karibu ya  dola milioni mbili kwa ajili ya ulinzi wa aliyebeba mimba ya mtoto wao wa tatu.

Kwa muijbu wa gazeti la The Sun, limeeleza kuwa Kim na Kanye wametumika kiasi hicho kwa mwanamke ili kuhakikisha anajihisi mwenye uhuru na asitazamwe na macho ya watu.

“Kim and Kanye have rented a place about an hour outside LA in a very nondescript suburb in a middle-class neighbourhood for their surrogate,” limeeleza gazeti hilo.

Pia likaongeza kuwa “I mean, this is the last place you would think to find the surrogate for one of the richest families in Hollywood. It’s a nice house, actually, split level, and Kanye has cameras put in everywhere in the house and outside too for safety and security – these are state of the art.”

Vile vile inadaiwa kuwa mtu huyo aliyebeba mimba amepatiwa dereva wake wa kumuendesha katika mizunguko inayotambuliwa ili kuhakikisha usalama na amepewa walinzi takribani sita wanaomlinda usiku na mchana.

“There are six security guards on rotation duties, for nine months. They have rented four different cars, and the surrogate has a driver. So with the rent on the house, expenses for the security staff and their wages – that’s around $1.5 million for the surrogate’s safety. But of course, it’s worth it – they want the best for her and their unborn baby,” kimeeleza chanzo hicho cha habari.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments