Michezo

Donald Ngoma, Kamusoko, Chirwa na Tambwe warejea kikosini(+video)

Uongozi wa klabu ya Yanga kupitia mkutano wake na waandishi wa habari hii leo siku ya Jumatatu umesema kuwa wachezaji wake tegemezi, Kamusoko, Canavaro, Kamusoko na baadhi ya wengine wamerejea katika kikosi hicho baada ya kuwa nje ya uwanja kwa muda kufuatia kuuguza majeraha licha ya baadhi yao kutokuwemo katika mchezo wao wa kesho wa klabu bingwa barani Afrikadhidi ya Township Rollers  licha ya kurejea kwao.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents