Bongo MovieMahojianoVideos

Dotnata: Niko poa siumwi tena! [Video]

[youtube]http://www.youtube.com/watch?v=8TIPm6iC55M[/youtube] Mwigizaji maarufu wa filamu nchini Dotnata amesema hali yake ya kiafya ni mzuri na anaguvu tofauti na watu walivyoandika kwamba yupo hoi kitandani.

Dotnata amesema si kitendo kizuri cha kumwandikia mtu anaumwa sana, hususani kwa mfanya biashara kama yeye ni sawa na kumfukuzia wateja. Alisema yeye yupo powa, na kufanyiwa operesheni ni hali ya kawaida kwa kila mwanamke. Alijitahidi sana kufanya mazoezi na zilichukua siku chache sana ilikuweza kujiweka katika hali nzuri ambayo hadi sasa inamfanya aweze kuendelea na mambo mengine.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents