Burudani ya Michezo Live

Dr Almas: Muigizaji wa filamu za Kibongo anayekuja juu

Kama umebahatika kutazama filamu ya Chausiku, sura na uwezo wa Dr Almas kwenye uigizaji vitakuwa si vigeni kwako na utakubaliana nasi kuwa anakuja kwa kasi licha ya kuwepo kwenye fani hiyo kwa muda.

Ameonekana pia kwenye filamu ya Wema Sepetu na JB, Chungu cha Tatu. Kwa sasa amekuja na filamu yake mwenyewe iitwayo King of Money. Mfahamu zaidi kwenye interview hiyo juu.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW