Siasa

Dr Dalaly peter Kafumu mbunge wa tatu Igunga

Dalaly_Peter_Kafumu_face

Dr Dalaly Peter Kafumu awa mbunge wa tatu katika jimbo la Igunga, baada ya kuachia madaraka aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo Rostam Azizi. Mchakato huo ulifikia kikomo jana baada ya shamlashamla za hapa na pale, na hatmye matokeo kutangazwa na tume ya Uchaguzi NEC kwamba Dr Kufumu ndiye mbunge mteule wa jimbo hilo lililopo mkoa wa Sogea.


Dr Kafumu alitwaa jimbo hilo na kufanya CCM kuendelea kushikiria kiti hicho kwa mara nyingine, huku mpizani wake mkubwa Ndugu Kashinde akichemka kwa kura 3224, ambazo ndizo zilizozidi kutoka kwa mpizani wake baada ya Kashinde kutwaa jumla ya kura 23260 na Dalaly kuchukua kura 26484.
Dalaly_peter_kafumu

Hata hivyo hitimisho hilo lilimalizika kwa vurugu za muda mchache, ambazo zilizimwa mara moja na kupotea kabisa.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents