Aisee DSTV!

Drake aonyeshwa kuguswa na Kevin Durant, aandika ujumbe mzito baada ya durant kuumia dhidi ya timu yake ya Toronto Raptors (+ Video)

Drake aonyeshwa kuguswa na Kevin Durant, aandika ujumbe mzito baada ya durant kuumia dhidi ya timu yake ya Toronto Raptors (+ Video)

Rapper kutoka nchini Canada ambaye amehamishia makazi yake Marekani Aubrey Drake Graham  alimaarufu Drake ambaye ni mnazi wa Toronto Raptors ameonesha moyo wa kipekee sana, aliguswa na kuumia tena kwa Kevin Durant kwenye Game 5 alfajiri ya leo. Kwenye instagram pia ameandika ujumbe mzito akiwataka kila mmoja wetu kumuombea.

Drake ameandika:

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW