Michezo
Drake apewa jezi zilizosainiwa na Sturridge wa Liverpool na Nasri wa Manchester City
Rapper wa YMCMB, Drake aliamua kuonesha mapenzi ya soka katika ziara yake nchini Uingereza.
Drake na Nasri
Staa huyo wa Canada alionekana backstage kwenye uwanja wa Liverpool, Echo Arena akipokea jezi zenye sahihi za wachezaji wa timu za Premier League Jumamosi iliyopita.
Drake na Sturridge
Mshambuliaji wa Liverpool, Daniel Sturridge na winga wa Manchester City, Samir Nasri wote walikuwa wametoka kusherehekea ushindi wa timu zao.