Burudani

Drake asaini msanii mpya ndani ya lebo yake OVO Sound

Drake amezidi kutanua himaya ya lebo yake ya muziki ya OVO Sound kwa kumsaini msanii mpya.

Rapper huyo amefanikiwa kumsaini muimbaji Plaza kupitia lebo hiyo ambayo ipo Totonto nmchini Canada.

Oliver El-Khatib ambaye ni mmoja wa waanzishili wa lebo hiyo akiwa na Drake amethibitisha kusaini kwa msanii huyo. “Before I leave. [I’m] gonna play Shadow, an EP by Plaza, the newest member of the OVO Sound family,” amesema El-Khatib.

Tayari msanii huyo ameachia EP yake mpya yenye nyimbo tano ndani yake akiwa chini ya OVO Sound.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents