Burudani

Drake atangaza ziara yake Australia na New Zealand

Drake ameamua kusonga mbele na ziara yake ya muziki.

Ziara hiyo ambayo aliipa jina la “The Boy Meets World Tour” itaanza tena katika nchi za Australia na New Zealand. Kupitia mtandao wa Twitter Drake amethibitisha hilo kwa kuandika, “Tickets On Sale Friday, September 15.”

Ziara hiyo inatarajiwa kuanza Novemba 3 mjini Auckland, New Zealand na itamalizika Jumatatu ya Novemba 20 mjini Melbourne.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents