Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Drake aweka rekodi mpya duniani

Rapper Drake kupitia album yake ya Scorpion ameweka rekodi ya kuwa msanii wa kwanza duniani kusikilizwa zaidi mtandaoni.

Drake kupitia album yake ya Scorpion ndani ya wiki moja tayari tangu album hiyo itoke tayari amesikilizwa (streams) zaidi ya bilioni 1+ kwenye Platform zote za kusikiliza au kuuza nyimbo mtandaoni.

Album hiyo ambayo imepata mapokezi mazuri sokoni tangu siku ya kwanza Juni 29, 2018 iingie sokoni pia ndani ya wiki moja tayari ilikuwa imeshagonga mauzo ya Platnum.

 

 

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW