Aisee DSTV!
SwahiliFix

Drake aweka wazi kuhusu albamu yake mpya

Baada ya mapema mwezi huu Drake akiwa mjini Toronto kudai kuwa yupo mbioni kukamilisha albamu yake mpya, rapper huyo ameweka wazi siku ambayo ataachia albamu hiyo.

Hit maker huyo wa God’s Plan, kupitia mtandao wake wa Instagram ameonyesha kuwa albamu hiyo itatoka Juni 28 ya mwaka huu.

Lakini pia Drake ameweka wazi jina la albamu hiyo ni ‘Scorpion’.

Mpaka sasa rapper huyo kutoka Toronto ameshaachia albamu nne ikiwemo ‘Thank Me Later’, ‘Take Care’, ‘Nothing Was the Same’ na ‘Views’.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW