BurudaniUncategorized

Drake kuja na ngoma hii baada ya God’s Plan

Baada ya God’s Plan kufanya vizuri huku video yake ikiwa imetumia kiasi cha zaidi ya bilioni mbili, Drake amefunguka kuhusu ngoma yake ijayo.

Kwa mujibu wa msanii huyo, wakati akiongea na mtandao wa TMZ,kuna uwezekano wimbo wake ujao ukapewa jina la ‘Just keep Helping’.

“[It’s] actually the best thing I’ve ever done in my life, to be honest with you. I don’t know,” Drake ameuambia mtandao huo.

Msanii huyo ameongeza, “Just keep helping. That’s it.”

https://youtu.be/E1GRTVbIFZM

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents