Burudani

Drake na Tekno waingia jikoni

Mkali wa muziki kutoka nchini Canada meneo ya Toronto, Drake ameonyesha kuwa na mapenzi ya dhati kwa muziki wa afrika hii ni baada yam kali huyo kuposti picha akiwa na Tekno.

Kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram, Drake ameweka picha akiwa na msanii huyo ambaye pia ni mtayarishaji wa muziki na kuandika ‘Tekkkk time’.

https://www.instagram.com/p/BclU-uHDxDT/?taken-by=champagnepapi

https://www.instagram.com/p/Bcj47w-AYyQ/?taken-by=teknoofficial

Mwa nzoni mwa mwaka huu Drake aliwahi kufanya ngoma ya ushirikiano na msanii kutoka nchini Nigeria aiywaye Wizkid na ngoma hiyo ilikuwa ya ikiitwa ‘Closer’

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents