Michezo

Droo ya Mechi za Nusu fainali-FA CUP

Droo ya kupanga Mechi za Nusu Fainali za EMIRATES FA CUP klabu 5 za Ligi Kuu England zimeingia kwenye Chungu cha hatua hiyo.

323029EB00000578-3492065-image-a-17_1457984829733

Timu hizo 5 zitakazoshiriki kombe hilo kongwe duniani ni Manchester United, West Ham, Everton, Watford na Crystal Palace, Wakati Everton.

Watford na Crystal Palace tayari zimetinga Nusu Fainali, Man United na West Ham inabidi zirudiane huko Upton katika Tarehe itakayopangwa baadae baada ya Jumapili kwenda Sare 1-1 huko Old Trafford na Mshindi kutinga Nusu Fainali.

Kati ya hizi Timu 5 ni Man United pekee yenye rekodi ya kutwaa Mataji makubwa katika Miaka 20 iliyopita.

Mechi za Nusu Fainali zimepangwa kuchezwa Uwanja wa Wembley Jijini London hapo Jumamosi Aprili 23 na Jumapili Aprili 24.

Fainali ya FA CUP itachezwa pia Uwanjani Wembely hapo Mei 21.

Hii Ndo Droo

3230175500000578-3492065-image-a-11_1457984068113

3230175100000578-3492065-image-a-10_1457984064079

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents