Promotion

Droo ya Shinda na Sim Account ya CRDB yachezeshwa, wawili waondoka wakicheka

Kampeni ya Shinda na Sim Account ya CRDB imechezesha ndoo yake ya tano ambapo Alhamisi hii (tarehe 1/11/2018) wamewatangaza washindi wawili, moja wa milioni 2 na mwingine  wa milioni 1 pamoja na wengine  kumi wa laki moja moja.

Washindi hao ni JAFARI KIMWAGA toka KIGOMA aliyejizolea 2,000,000/= na ANTHONY SYLVESTER toka GEITA aliyejizolea 1,000,000/

Wawili hao waliibuka washindi baada ya kujisajili ya simaccount kupitia *150*62# na kuanza kutumia huduma mbalimbali.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents