DStv Inogilee!

DStv ni mwendo wa ‘Tia kitu, pata Vituuz’, unaambiwa ukilipia kifurushi cha juu wanakuzawadia cha juu zaidi kwa mwezi mzima

Kampuni ya MultiChoice Tanzania kupitia huduma zake za DStv wanakwambia kwa sasa ofa mpya na kabambe kwa wateja wake inayojulikana kwa jina la “Step Up” ambapo mteja wa DStv atatakiwa kufanya malipo ya mwezi ya kifurushi cha juu ya kile anachotumia na kisha atapatiwa kifurushi cha juu zaidi ya kile alicholipia kwa kipindi cha mwezi mzima bila malipo ya nyongeza.

Kwa mfano wewe mteja unayetumia, kifurushi cha Family Tsh. 39,000, ukilipia kwa mwezi utanapewa kifurushi cha Compact 69,000 ambapo utafurahia mechi zote za Premier league!

Kwa maelezo zaidi tembelea kwenye kurasa za mitandao ya kijamii ya DStv kwa kuwafollow hapa @dstvtanzania

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW