Burudani

Dudu Baya afichua siri mtoto wake wa kwanza wa kike ‘vijana waharibifu tutatoana roho’ (Video)

Msanii wa muziki wa Hip Hop, Dudu Baya Ijumaa hii amefichua siri kwa kumuonyesha watoto wake wa kwanza hadharani aitwae, Maria. Rapa huyo ambaye ni baba wa watoto watatu wamedai alikuwa hataki kumuweka hadharani binti huyo lakini alikuwa anaeleza kwamba ana watoto watatu. Binti huyo siku ya kesho atapanda katika jukwaa la Wasafi Festival kwaajili ya kumsupport Baba yake ambaye anafanya vizuri na wimbo Konki.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents